Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Benedikta alivyochorwa.
Benedikta Cambiagio Frassinello
(
Langasco
,
Genova
,
2 Oktoba
1791
-
Ronco Scrivia
, Genova,
21 Machi
1858
) alikuwa
mwanamke
wa
Italia kaskazini
ambaye, baada ya kuolewa, aliamua pamoja na
mume
wake kushika
maisha ya kitawa
na hatimaye alianzisha
shirika
la
Masista Wabenedikto wa Maongozi ya Mungu
kwa ajili ya
malezi
ya
wasichana
fukara
na wasio na
familia
[1]
[2]
.
Papa Yohane Paulo II
alimtangaza
mwenye heri
tarehe
10 Mei
1987
na
mtakatifu
tarehe
19 Mei
2002
.
Sikukuu
yake inaadhimishwa kila
mwaka
tarehe
21 Machi
[3]
.
|
Makala hii bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuiongezea habari
.
|