Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Basino wa Trier
(alifariki
Trier
, leo nchini
Ujerumani
,
4 Machi
705
) alikuwa
askofu
wa 30 wa
mji
huo kuanzia
mwaka
697
/
698
hadi
kifo
chake
[1]
.
Mwana
wa
familia
ya
watawala
, alijiunga na
monasteri
akawa
abati
, akapewa uaskofu.
Tangu zamani anaheshimiwa na
Wakatoliki
na
Waorthodoksi
kama
mtakatifu
.
Sikukuu
yake inaadhimishwa kila
mwaka
tarehe
4 Machi
[2]
.
- Olaf Schneider:
Erzbischof Hinkmar und die Folgen: Der vierhundertjahrige Weg historischer Erinnerungsbilder von Reims nach Trier.
Berlin, New York, 2010 v. a. S. 118?120
|
Makala hii bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuiongezea habari
.
|