Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Barcelona
ni
mji
uliopo nchini
Hispania
. Ni
mji mkuu
wa
jimbo
la
Catalonia
, ambayo ni sehemu tajiri zaidi ya Hispania.
Barcelona ipo katika
pwani
ya
Bahari ya Mediteranea
. Mji upo kati ya
Mto Llobregat
na Besos, na
kusini
upo katika
milima
ya
Pirenei
.
Leo hii kuna takriban
watu
milioni
1.6 wanaoishi katika mji huo (
sensa
ya
2006
). Kati ya milioni 3.1 ya watu wanaishi katika Maeneo ya Metropolitan na milioni 5.3 wapo Mijini.
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Hispania
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Barcelona
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|