Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mwonekano wa Drake 2016
Aubrey Drake Graham
(amezaliwa
24 Oktoba
,
1986
) ni
msanii
,
mwanamuziki
na
mwigizaji
wa
filamu
kutoka
Kanada
. Hasa anajulikana kwa jina lake la kisanii
Drake
, au pia kama
Drizzy
.
Kuanzia
2001
hadi
2009
aliigiza katika
novela
ya
TV
iliyoitwa
Degrassi
.
Tangu
2006
pia alifanya
muziki
, hasa
rap
.
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Drake
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|