Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Antonio Casas
|
Antonio katika filamu ya the The Good, the Bad and the Ugly mnamo mwaka 1966.
|
Jina la kuzaliwa
|
Antonio Casas
|
Alizaliwa
|
11 Novemba
1911
Hispania
|
Kafariki
|
14 Februari
,
Madrid
|
Kazi yake
|
Mwigizaji
|
Miaka ya kazi
|
1941 hadi 1982
|
Antonio Casas
(La Coruna, Galicia,
11 Novemba
1911
-
Madrid
,
Hispania
,
14 Februari
1982
) alikuwa mchezaji mpira wa miguu wa
Hispania
, aliyekuja kuwa mwigizaji wa filamu kati ya mwaka
1941
na
1982
kifo chake kilipowadia.
Casas awali alianza kama mchezaji
mpira wa miguu
lakini mwaka 1941 akajiingiza katika masuala ya ugizaji wa filamu mnamo na akafanya karibuni filamu 170 za kawaida na TV pia hadi 1982.
Casas alionekana katika filamu iliongozwa na
Sergio Leone
zile za Spaghetti Western, filamu yenyewe ilikuwa
The Good, the Bad and the Ugly
mnamo mwaka
1966
, ni filamu ambayo iliwahi kuchaguliwa kuwa itakuwa bora kwa miaka yote.
Mnamo
miaka ya 1970
alifanya kazi katika televisheni lakini akarudi tena katika uwanja filamu baada ya
1975
akuachia tena shughuliza uigizaji hadi kifo chake kilivyowadia mwaka
1982
.
|
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Antonio Casas
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|