Anthony Evan Hecht ( 16 Januari 1923 – 20 Oktoba 2004 ) alikuwa mshairi kutoka nchi ya Marekani . Mwaka wa 1968 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi .