Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Anjela wa Msalaba
(jina la awaliː Maria de los Angeles
[1]
Guerrero y Gonzalez,
Sevilia
,
Hispania
,
30 Januari
1846
- Sevilia
2 Machi
1932
) alikuwa
sista
mwanzilishi
wa shirika la
Masista wa Msalaba
ambalo ndani ya
Kanisa Katoliki
linahudumia mafukara na wagonjwa waliosahaulika kabisa.
Hakukubali kabisa kujipendelea kuliko hao akiwaita mabwana wake na kuwatumikia kabisa.
Papa Yohane Paulo II
alimtangaza
mwenye heri
tarehe
5 Novemba
1982
na
mtakatifu
tarehe
4 Mei
2003
.
Sikukuu
yake huadhimishwa tarehe ya
kifo
chake
[2]
.
|
Makala hii bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuiongezea habari
.
|