Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mh. Alfred Joseph Hitchcock
(
13 Agosti
1899
?
29 Aprili
1980
) alikuwa mwongozaji na mtayarishaji filamu mkubwa wa
Kiingereza
. Yaaminika kwamba Alfred Hitchcock ndiyo mgunduzi na mwanzilishi wa mtindo mingi ya filamu za kusisimua na za aina ya kutisha. Baada ya kuongoza baadhi ya filamu za huko Uingereza, Alfred alielekea mjini Hollywood na akaja kuwa raia wa Marekani kunanko mwaka wa 1956.
Moja kati ya filamu alizoongoza Alfred ni kama ifuatavyo: The Lodger (1927), The Lady Vanishes (1938), Rebecca (1940), The Man Who Knew Too Much (1934 na ilijengwa upya mnamo 1956), Rear Window (1954), Vertigo (1958), North by Northwest (1959), Psycho (1960), The Birds (1963), Topaz (1969) na Frenzy (1972). Alfred vilevile ni mtangazaji na mwongozaji wa kipindi cha
TV
kiitwacho Alfred Hitchcock Presents.
|
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Alfred Hitchcock
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|