Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sir Alexander Chapman "Alex" Ferguson
(amezaliwa tarehe
31 Desemba
1941
) ni
meneja
wa
mpira wa miguu
kutoka nchini
Uskoti
.
Anasimamia
klabu
ya
Manchester United
. Zamani alikuwa meneja wa klabu za
Aberdeen
na
St Mirren
.
Alipokea
tuzo
nyingi kushinda mwingine yeyote katika
historia
ya
soka
ya
Ufalme wa Muungano
.
|
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Alex Ferguson
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|