Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tarehe
22 Oktoba
ni
siku
ya 295 ya
mwaka
(ya 296 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 70.
Wakristo
wengi, wakifuata
mapokeo ya Roma
, huadhimisha
kumbukumbu
za
watakatifu
Papa Yohane Paulo II
,
Marko wa Yerusalemu
,
Abersi
,
Filipo na Herme
,
Maloni wa Rouen
,
Nunilona na Alodia
,
Donato Mskoti
n.k.
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
22 Oktoba
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|