Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tarehe
22 Novemba
ni
siku
ya 326 ya
mwaka
(ya 327 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 39.
Wakristo
wengi, wakifuata
mapokeo ya Roma
, huadhimisha
kumbukumbu
za
watakatifu
Sesilia
,
Filemoni
na
Afia
,
Anania wa Arbela
,
Beninyo wa Milano
,
Pragmasi wa Autun
,
Petro Esqueda
n.k.
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
22 Novemba
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|