Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
?zmir
, kwa
jina
la
kihistoria
Smyrna
, ni
mji
wa tatu kwa ukubwa katika
Uturuki
, na ndio mji wenye
bandari
kubwa baada ya
Istanbul
. Upo katika eneo la
maji
yatokayo
Ghuba ya ?zmir
, katika
Bahari ya Aegean
.
Huu ni
mji mkuu
wa
Mkoa wa ?zmir
, ambao una eneo la
kilomita za mraba
zipatazo 7350.
Mji wa ?zmir una
wilaya
zipatazo kumi. Wilaya hizo ni pamoja na
Balcova
,
Bornova
,
Buca
,
Ci?li
,
Gaziemir
,
Guzelbahce
,
Kar?ıyaka
,
Konak
,
Menemen
, na
Narlıdere
, ambazo kila moja ni tofauti sana na nyingine.
Kanisa
la Smirna ni kati ya yale saba ambayo yaliandikiwa
barua
katika
Ufunuo wa Yohane
,
kitabu
cha mwisho cha
Agano Jipya
na cha
Biblia ya Kikristo
. Ndilo linalosifiwa zaidi, hasa kutokana na
kiongozi
wake,
askofu
Polikarpo wa Smirna
.
Idadi ya watu wa ?zmir
|
Mwaka
|
Idadi
|
2007
|
2,606,294
|
2000
|
2,232,265
|
1990
|
1,758,780
|
1985
|
1,489,817
|
1970
|
554,000
|
1965
|
442,000
|
1960
|
371,000
|
1955
|
286,000
|
1950
|
231,000
|
1945
|
200,000
|
1940
|
184,000
|
1935
|
171,000
|
1927
|
154,000
|
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
---|
| |
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Uturuki
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
?zmir
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|