Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sabino wa Canosa
(
Canosa di Puglia
,
Italia
,
461
- Canosa di
Puglia
,
9 Februari
,
566
) alikuwa
askofu
wa
mji
huo kuanzia
mwaka
514
[1]
.
Rafiki
wa
Benedikto wa Nursia
, alitumwa na
Papa Agapeto I
kwenda
Konstantinopoli
kutetea
imani sahihi
kuhusu
utu
halisi wa
Yesu
.
Tangu kale anaheshimiwa na
Kanisa Katoliki
na
Waorthodoksi
kama
mtakatifu
.
Sikukuu
yake huadhimishwa tarehe
9 Februari
[2]
.
- Gerardo A. Chiancone -
La Cattedrale e il Mausoleo di Boemondo a Canosa
(tip. D. Guglielmi,
Andria
, 1983; pag. 54)
- Attilio Paulicelli -
San Sabino nella storia di Canosa
(tip. San Paolo,
Bari
, 1967)
- La tradizione barese di s. Sabino di Canosa
. A cura di Salvatore Palese. Bari, Edipuglia, 2001. Contiene i seguenti studi:
- Ada Campione,
Sabino di Canosa tra storia e leggenda
, p. 23-46
- Pasquale Corsi,
Canosa e Bari nelle modificazioni ecclesiastiche dei Bizantini
, p. 47-56
- Gioia Bertelli,
Le reliquie di s. Sabino da Canosa a Bari: tra tradizione e archeologia
, p. 57-78
- Gerardo Cioffari o. p.,
Le origini del culto di s. Sabino a Bari
, p. 79-98
- Nicola Bux,
La liturgia barese di s. Sabino
, p. 99-106
- Anna Maria Tripputi,
La devozione barese a s. Sabino in eta moderna e contemporanea
, p. 107-114
- Francesco Quarto -
Un isolato omaggio tra devozione ed erudizione. La vita di S. Sabino del canonico Giuseppe Di Cagno
, p. 115-170.
- La Historia di S. Sabino di Antonio Beatillo (1629)
. A cura di Francesco Quarto. In Nicolaus Studi Storici, XVII, 2006, p. 97-160.
|
Makala hii bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuiongezea habari
.
|