Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mtakatifu Mama Frances Xavier Cabrini
Fransiska Saviera Cabrini
(
Sant'Angelo Lodigiano
,
Italia
,
15 Julai
1850
–
Chicago
,
Illinois
,
Marekani
,
22 Desemba
1917
) alikuwa
mwanzilishi
wa shirika la
Masista Wamisionari wa Moyo Mtakatifu
(kwa
Kiingereza
Missionary Sisters of the Sacred Heart
).
Jumuiya hiyo ilianzia
Italia
na kufanya kazi hasa
Marekani
kati ya wahamiaji kwa kujenga
shule
,
hospitali
na nyumba kwa watoto
yatima
.
Mwaka
1946
Mama Cabrini alitangazwa kuwa
mtakatifu
akiwa raia Mmarekani wa kwanza kupewa heshima hiyo.
Sikukuu
yake ni tarehe
22 Desemba
[1]
.
|
Makala hii bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuiongezea habari
.
|