Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tarehe
7 Aprili
ni
siku
ya
97
ya
mwaka
(ya 98 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 268.
Wakristo
wengi, wakifuata
mapokeo ya Roma
, huadhimisha
kumbukumbu
za
watakatifu
Yohane Baptista de La Salle
,
Egesipo
,
Pelusi wa Aleksandria
,
Theodoro wa Pentapoli na wenzake
,
Kaliopi
,
Askari wafiadini wa Sinope
,
Joji wa Mitilene
,
Aibati
,
Hermani Yosefu
,
Henri Walpole
,
Petro Nguyen Van Luu
n.k.
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
7 Aprili
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|