Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tarehe
10 Agosti
ni
siku
ya 222 ya
mwaka
(ya 223 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 143.
Wakristo
wengi, wakifuata
mapokeo ya Roma
, huadhimisha
sikukuu
ya
mtakatifu
Laurenti
, lakini pia
kumbukumbu
za watakatifu
Wafiadini wa Aleksandria
,
Blani
n.k.
WikiMedia Commons
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
10 Agosti
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|