Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Valentini na Hilari
(walifariki
Viterbo
,
Italia ya Kati
,
305
hivi) ni kati ya
mashahidi
wa
imani
ya
Kikristo
waliouawa katika
Dola la Roma
wakati wa
dhuluma
ya
kaisari
Dioklesyano
.
Inasemekana Valentini alikuwa
padri
na Hilari
shemasi
[1]
.
Tangu kale wanaheshimiwa na
Wakatoliki
na
Waorthodoksi
kati ya
watakatifu
wafiadini
.
Sikukuu
yao huadhimishwa
tarehe
3 Novemba
[2]
.
|
Makala hii bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuiongezea habari
.
|