Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ruth Bosibori Nyangau
(pia huandikwa
Ruth Bisibori
; alizaliwa
Bosiango
,
2 Januari
1988
) ni
mwanariadha
Mkenya
anayekimbia katika mashindano ya umbali wa kati na ni
mtaalamu
katika shindano la
steeplechase mita 3,000
.
Mwezi Julai 2007 alikuwa mshindi wa kwanza wa mashindano ya All-Africa Games, kwani ilishindaniwa mara ya kwanza mwaka huo. Mwezi Agosti mwaka uo huo alimaliza wa nne katika
Mashindano ya dunia
katika
rekodi ya dunia ya wanariadha wachanga
ya dakika 9:25.25. Rekodi ya awali ilikuwa 9:30.70 ilikuwa imewekwa na
Melissa Rollison.
[1]
. Alimaliza wa tatu katika mashindano ya
Mabingwa wa Afrika mwaka 2008
.
Bosibori alizaliwa katika kijiji cha Bosiango kilicho karibu na
Kisii
[2]
Alianza kukimbia mwaka 2003 alipokuwa katika chuo cha upili cha Kebirichi. Aliajiriwa na
Polisi wa Kenya
baada ya kushinda michuano ya mkoa mwaka 2007
[3]
Amezoea kukimbia
mguu tupu
.
[4]
Alishinda tuzo la Mwanariadha wa kike ambaye ana ahadi zaidi mwaka 2007 katika sherehe za Kenya Sports Personality of the Year
[5]
Kocha wake ni
Dan Muchoki
[6]
|
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Ruth Bosibori
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|