Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rumi Utsugi
(alizaliwa
5 Desemba
1988
) ni mchezaji wa
mpira wa miguu
nchini
Japani
ambay anacheza kama kiungo wa Tokyo Verdy Beleza. Aliwahi kuwa kocha msaidizi wa klabu ya Reign FC na Montpellier. Utsugi alisaidia timu ya taifa kushinda Kombe la Dunia la FIFA la mwaka 2011.
[1]
[2]
|
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Rumi Utsugi
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|