Miles Davis ( 25 Mei 1926 ? 28 Septemba 1991 ) alikuwa mwanamuziki wa Marekani . Jina lake la kuzaliwa ni Miles Dewey Davis III. Alikuwa anapiga muziki ya jazz .