James Rothman (amezaliwa 3 Novemba , 1950 ) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani . Hasa alichunguza seli na mawasiliano yake. Mwaka wa 2013 , pamoja na Randy Schekman na Thomas Sudhof , alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba .