Harald V wa Norwei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Harald V wa Norwei.

Harald V (alizaliwa 21 Februari 1937 ) ni mfalme wa Norwei . Baba yake alikuwa Olav V , na mama yake alikuwa Martha . Harald aliaga dunia 17 Januari 1991 . Yeye alikuwa mfalme wa kwanza kuzaliwa Norwei tangu miaka 600.

Harald alioana na Sonjana wana watoto wawili: Martha Louise (z. 1971) na Haakon Magnus (z. 1973).