Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eugene Gladstone O'Neill
(
16 Oktoba
1888
?
27 Novemba
1953
) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya
Marekani
. Hasa aliandika
tamthiliya
. Mwaka wa 1936 alikuwa mshindi wa
Tuzo ya Nobel
ya Fasihi
. Pia, kati ya 1920 na 1957, alituzwa
Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya
mara nne.
|
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Eugene O'Neill
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|