Antony Hewish (amezaliwa 11 Mei 1924 ) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza . Hasa alichunguza mionzi ya nyota na kugundua nyota zinazodundadunda (kwa Kiingereza pulsar ). Mwaka wa 1974, pamoja na Martin Ryle alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia .