Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wisconsin
ni
jimbo
la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au
Marekani
. Mji mkuu ni
Madison
na mji mukubwa ni
Milwaukee
. Jimbo lina wakazi wapatao 5,627,967 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 169,790. Mipaka asilia ni
Ziwa Michigan
upande wa mashariki na
Ziwa Superior
upande wa kazkazini. Imepakana na
Michigan
,
Illinois
,
Iowa
na
Minnesota
.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Marekani
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Wisconsin
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|