Wisława Szymborska ( jina kamili: Maria Wisława Anna Szymborska; 2 Julai 1923 - 1 Februari 2012 ) alikuwa mshairi kutoka nchi ya Poland .
Mwaka wa 1996 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi .