William Parry Murphy ( 6 Februari 1892 – 9 Oktoba 1987 ) alikuwa daktari kutoka nchi ya Marekani . Hasa anajulikana kwa kuchunguza na kutibu upungufu wa damu. Mwaka wa 1934 , pamoja na George Minot na George Whipple alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba .