Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu
ya Mt. Wenseslaus katika
kanisa kuu
la Mt. Vitus,
Prague
.
Kardinali
Miloslav Vlk
akitembeza fuvu la kichwa la Mt. Wenseslaus katika
maandamano
ya tarehe 28 Septemba
2006
.
Sanamu ya Mt. Wenseslaus katikati ya
mji
wa Prague.
Wenseslaus I
(kwa
Kicheki
Vaclav
, ?vaːtslaf
[1]
;
907
hivi -
28 Septemba
935
) alikuwa mtawala (
kni?e
)
[2]
wa
Bohemia
tangu mwaka
921
hadi alipouawa na watu waliotumwa na mdogo wake,
Boleslaus I
.
Alilelewa katika
hekima
ya kiutu na ya
Kimungu
na
bibi
yake
Ludmila
. Ingawa alikuwa mkali kwake mwenyewe, alikuwa mpenda
amani
katika kuendesha nchi na mwenye
huruma
kwa
fukara
. Alikomboa
watumwa
wengi
Wapagani
waliokuwa wanauzwa huko
Praha
, ili wafikie
ubatizo
. Kisha kukabili matatizo mengi katika kuongoza na
kuinjilisha
wananchi wake, aliuawa
kanisani
[3]
.
Anaheshimiwa kama
mtakatifu
mfiadini
.
[4]
[5]
[6]
Kikanisa cha Mt. Wenseslaus katika kanisa kuu la Mt. Vitus.
Sikukuu
yake huadhimishwa tarehe
28 Septemba
[7]
[8]
[9]
. Nchini
Ucheki
ndiyo
sikukuu ya taifa
.
- ↑
Christiansen, Rupert. "The story behind the carol: Good King Wenceslas",
The Telegraph
, 14 December 2007
- ↑
Mershman,
Francis. "St. Wenceslaus." The Catholic Encyclopedia
Vol. 15. New York: Robert Appleton Company, 1912. 8 January 2016
- ↑
https://www.santiebeati.it/dettaglio/29350
- ↑
Describing the
Codex Gigas
, a thirteenth-century manuscript from Bohemia in the Swedish National Library in Stockholm, it is stated: "All this bears witness to the outstanding importance of the cult of Vaclav in Bohemia at the time of the Devil's Bible's compilation. Moreover, all three festivals are inscribed in red ink, denoting their superlative degree."
- ↑
Within a few decades of Wenceslas' death four biographies of him were in circulation.The
First Slavonic Life
(in
Old Church Slavonic
), the anonymous
Crescente fide
, the
Passio
by Gumpold, bishop of
Mantua
(d. 985), and
The Life and Passion of Saint Vaclav and his Grandmother Saint Ludmilla
by Kristian.
- ↑
Hastening Toward Prague: Power and Society in the Medieval Czech Lands - Lisa Wolverton - Google Boeken
. Books.google.com. 2001-07-25
. Iliwekwa mnamo
2013-11-20
.
- ↑
Martyrologium Romanum
- ↑
September 28/October 11
Archived
29 Novemba 2014 at the
Wayback Machine
..
Orthodox Calendar (PRAVOSLAVIE.RU).
- ↑
Martyr Wenceslaus the Prince of the Czechs
.
OCA - Lives of the Saints.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
Makala hii bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuiongezea habari
.
|