Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wangasa
ni
kabila
dogo la
watu
wa
Tanzania
kaskazini
wanaoishi upande wa
mashariki
wa
mlima Kilimanjaro
, katika
mkoa wa Kilimanjaro
.
Mwaka
2000
walihesabiwa kuwa 4,285, ambao kati yao 200-300 tu waliweza kutumia
lugha
yao,
Kingasa
, jamii ya
Kimasai
. Kwa sasa
lugha mama
ya wengi wao ni
Kichaga
na inawezekana hakuna anayejua tena Kingasa.
|
Makala hii kuhusu utamaduni wa
Tanzania
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Wangasa
kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|