Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wafiadini wa Raithu
ni
wamonaki
Wakristo
43 wa
Misri
waliouawa huko, karibu na
mlima Sinai
, kadiri ya simulizi la Amoni fulani
[1]
.
Inawezekana ni walewale 38 wamonaki waliouawa juu ya
mlima
huo walioandikiwa na
Nilo wa Sinai
, wakiwemo Isaya, Jesaja, Saba na Theodulo
[2]
.
Tangu kale wanaheshimiwa na
Wakatoliki
na
Waorthodoksi
kama
watakatifu
wafiadini
.
Sikukuu
yao huadhimishwa
tarehe
14 Januari
[3]
au
22 Desemba
[4]
[5]
.
|
Makala hii bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuiongezea habari
.
|