Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Vitorini wa Ptuj
(au
wa Pettau
; kwa
Kilatini
:
Victorinus Petavionensis
au
Poetovionensis
;
karne ya 3
-
Ptuj
, leo nchini
Slovenia
,
303
hivi) alikuwa
askofu
wa
mji
huo hadi
kifodini
chake
[1]
.
Ingawa alimudu zaidi
lugha
ya
Kigiriki
, aliandika
vitabu
mbalimbali vya
ufafanuzi
wa
Biblia ya Kikristo
kwa
Kilatini
[2]
, akiwa wa kwanza kufanya hivyo. Vingi vimepotea
[3]
[4]
.
Tangu kale anaheshimiwa na
Wakatoliki
na
Waorthodoksi
kama
mtakatifu
mfiadini
[5]
na
babu wa Kanisa
.
Sikukuu
yake huadhimishwa
tarehe
2 Novemba
[6]
.
|
Makala hii bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuiongezea habari
.
|