Vitali Lazarevich Ginzburg ( 4 Oktoba , 1916 - 8 Novemba , 2009 ) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Urusi . Hasa alichunguza usumaku na mionzi kutoka nyota . Mwaka wa 2003 , pamoja na Alexei Abrikosov na Anthony Leggett , alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia .