Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Visiwa vya Mariana
(kwa
Kiingereza
: Mariana Islands)
ni
funguvisiwa
la
Pasifiki
ya
magharibi
, takriban katikati ya
Papua Guinea Mpya
na
Japani
. Vinahesabiwa kati ya
visiwa
vya
Melanesia
.
Kwa jumla ni safu ya visiwa 15 vyenye
asili
ya
volkeno
kati ya
12 hadi 21N na mnamo 145E
.
Vyote ni
maeneo ya ng'ambo ya Marekani
inayotawala funguvisiwa hilo kama vitengo viwili vya pekee:
- Visiwa vya Mariana ya Kaskazini
(Northern Mariana Islands)
ambavyo ni
idadi
kubwa ya visiwa hivyo na eneo lenye madaraka ya kujitawala
- Guam
ambayo ni kisiwa kikubwa pekee ambacho ni kituo cha kijeshi cha Marekani.
Marejeo
- Pascal Horst Lehne and Christoph Gabler:
Uber die Marianen.
Lehne-Verlag, Wohldorf in Germany 1972.
- L. de Freycinet,
Voyage autour du monde
(Paris, 1826?1844)
- The Marianas Islands in
Nautical Magazsile
, xxxiv., xxxv. (London, 1865?1866)
- 0. Finsch,
Karolinen und Marianen
(Hamburg, 1900); Costenoble, Die Marianen in Globus, lxxxviii. (1905).
- Marejeo katika kamusi elezo
|
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuiongezea habari
.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.
|