Vernon Louis Parrington ( 3 Agosti 1871 – 16 Juni 1929 ) alikuwa mwanahistoria kutoka nchi ya Marekani . Mwaka wa 1928 , alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia kwa kitabu chake Main Currents in American Thought .