Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Vancouver
ni
mji
wa
pwani
uliopo kwenye
bandari
kuu ya kusini-magharibi mwa
jimbo
la
British Kolumbia
,
Kanada
. Huu ni mji mkubwa kabisa katika
British Kolumbia
na pia mji wa tatu kwa ukubwa katika
Kanada
, wenye zaidi ya watu
milioni
2.
Mji wa Vancouver ulianzishwa mnamo mwaka wa
1886
, na kupewa jina hilo kwa heshima ya
George Vancouver
, aliyekuwa
baharia
kutoka nchini
Uingereza
. Aliishi kunako
miaka ya 1700
, na alikuwa akitumia boti kupitia maeneo haya na kugundua mji wa Vancouver na
Kisiwa cha Vancouver
.
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Kanada
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Vancouver
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|