Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lebo ya
Useja mtakatifu
ilivyochorwa na
Giotto di Bondone
,
Firenze
,
Italia
.
Toma wa Akwino
,
mwanateolojia
bora za
Karne za Kati
, akivikwa na
malaika
mkanda wa usafi baada ya kuweka
nadhiri
ya useja mtakatifu.
Useja mtakatifu
ni aina ya
useja
ambayo
mwanamume
au
mwanamke
anaishika kwa
hiari
kwa sababu za kidini, hasa katika
Ukristo
, ambapo lengo ni kuungana zaidi na
Yesu
aliyeishi hivyo.
Ndiye aliyehimiza wanaojaliwa kuelewa uhusiano wa useja na
ufalme wa Mungu
waushike kweli (
Math
19:11-12).
Useja huo ni msingi wa aina zote za
utawa
na unadaiwa na
Kanisa Katoliki
kwa baadhi ya ma
shemasi
na ma
padri
pamoja na ma
askofu
wote.
Makanisa ya Kiorthodoksi
yanaudai kwa maskofu tu.
|
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|