Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ufalme wa Bizanti
(kwa
Kigiriki
: Βυζαντιν? Αυτοκρατορ?α) ni
neno
linalotumika kutaja
Dola la Roma
lilivyoendelea
mashariki
mwa eneo la kandokando ya
bahari
ya
Mediteranea
katika
Zama za Kati
, ukiwa na
makao yake makuu
kwenye
mji
wa
Konstantinopoli
(ulioitwa pia
Bizanti
) na kutumia
lugha
ya
Kigiriki
.
Katika baadhi ya maana, hasa baada ya kuanguka kwa
Dola la Roma Magharibi
na mjini
Roma
penyewe, hujulikana pia kama
Dola la Roma Mashariki
.
Wabizanti wenyewe walijiona ni bado Dola la Roma likiendelea tu.
Watawala
walitumia cheo cha "
Kaisari
" kama awali.
Hata hivyo, kwa wakati mwingi wa
historia
yake, ulifahamika na wenzao wa
Ulaya magharibi
kama “Ufalme wa Wagiriki” au “Ufalme wa Konstantinopoli” au "Rhomania".
Lakini majirani wa mashariki kama
Waarabu
waliendela kuwaita "Waroma" (kwa
Kiarabu
???
rum
).
Bizanti ilipata mapigo mawili makubwa katika
historia
yake:
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Ufalme wa Bizanti
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|