Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ubora
Ubora
ni sifa ya
kiumbehai
au
kitu
chochote hasa kulingana na wengine au vingine vya aina ileile.
Pengine ubora unatakiwa kulingana na kiwango kinachotarajiwa na watumiaji na
sheria
za nchi. Kwa ajili hiyo kuna
taasisi
maalumu zinazothibitishwa kuwa unafikia kiwango hicho. Bila uthibitisho huo
bidhaa
haiwezi kuuzwa.
Kwenye
biashara
uhandisi
ubora unatafsiriwa ki
sayansi
kama uwezo wa kutokuwa na mapungufu wa kitu. Ubora ni dhahiri, una
sifa
fulani ya kujitegemea na unaweza kueleweka tofauti na watu tofauti pia.
Watumiaji
wanaweza kuangalia pia ubora wa
vipimo
vya
bidhaa
, na ubora wa kufanana wa bidhaa.
Wafanyakazi wa
msaada
wanaweza kupima ubora kwa hatua ambayo bidhaa huweza kuaminika na kudumishwa.
Kuna vipengele vitano vya ubora kibiashara:
- Kuzalisha
- kutoa kitu.
- Uangalizi - kuhakikisha kwamba jambo linafanyika kwa usahihi.
- Kudhibiti ubora - kuhakikisha matokeo yana tabirika.
- Usimamizi
- kuongoza
shirika
ili kuongeza utendaji
kazi
kupitia uchambuzi.
- Uhakikishaji - kupata uhakika kuwa bidhaa itakuwa ya kuridhisha.
Ubora uliotumia njia hizi uliendelea kwa kuwa na ma
kampuni
ya manunuzi ya NASA,
viwanda
vya
jeshi
na
nyuklia
kuanzia miaka ya 1960 na hii ndiyo sababu ya msisitizo wa kuhakikisha ubora.
|
Makala hii kuhusu mambo ya
uchumi
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Ubora
kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|