Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Turku
ni
mji
wa
Ufini
wenye wakazi 175.000. Iko kwenye
pwani
ya
kusini
ya nchi,
mwambaoni
mwa
Bahari ya Baltiki
.
Ilikuwa
kitovu
cha
utamaduni
wa
Kiswidi
katika Ufini lakini leo hii ni
asilimia
tano pekee za wakazi wanaosema
Kiswidi
. Kiswidi pamoja na
Kifini
ni
lugha rasmi
mjini.
Kuna pia
Chuo Kikuu
na
askofu
wa
Kanisa la Kilutheri
.
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Ufini
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Turku
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|