한국   대만   중국   일본 
Tomas Transtromer - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Tomas Transtromer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tomas Transtromer

Tomas Transtromer (amezaliwa 15 Aprili , 1931 mjini Stockholm ) ni mshairi, mwanasaikolojia na mfasiri kutoka nchi ya Uswidi . Hasa ameandika mashairi kuhusu majira ya baridi nchini mwake. Mwaka wa 2011 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi .

Maandishi yake [ hariri | hariri chanzo ]

  • 17 dikter ("Mashairi kumi na saba", 1954)
  • Hemligheter pa vagen ("Siri njiani", 1958)
  • Fangelse ("Gereza", 2001)
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu .
Je, unajua kitu kuhusu Tomas Transtromer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .