Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Barua kwa Tito
ni kimojawapo kati ya
vitabu
27 vya
Agano Jipya
katika
Biblia ya Kikristo
.
Pamoja na
barua
mbili
kwa
Timotheo
inaunda
kundi
la
Nyaraka za Kichungaji
. Mada za hizo zote ni mafundisho sahihi ya
imani
na
uadilifu
wa matendo yanayofuatana nayo.
Kama vitabu vingine vyote vya
Biblia
, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa
historia ya wokovu
ili kukielewa kadiri ya
maendeleo
ya
ufunuo
wa
Mungu
kwa
binadamu
.
Mwandishi
wake ni
Mtume Paulo
mwishoni mwa
maisha
yake.
Mlengwa ni mmojawapo wa
wanafunzi
wake, ambao aliwashirikisha
mamlaka
yake wakawa
waandamizi
wake kama ma
askofu
wa kwanza.
Awali
Tito
alikuwa
Mpagani
(
Wagalatia
2:1-3,
2 Wakorintho
8:23).
|
Makala hii kuhusu mambo ya Agano Jipya bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Waraka kwa Tito
kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|