Keesha Mashawn Christenson (amezliwa tar. 20 Januari 1982 ) anafahamika kwa jina la kikazi kama Tiffany Mason , ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani .