Thomas Sigismund “T.S.” Stribling ( 4 Machi 1881 – 8 Julai 1965 ) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani . Mwaka wa 1933 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Store .