Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Teodolfi,
O.S.B.
(alifariki
Lobbes
,
Austrasia
, leo nchini
Ubelgiji
,
24 Juni
776
) alikuwa
abati
na
askofu
[1]
ambaye alijitahidi kufuata mifano bora ya watangulizi wake wawili ambao aliagiza
maisha
yao yaandikwe.
Tangu kale anaheshimiwa na
Kanisa Katoliki
na
Kanisa la Kiorthodoksi
kama
mtakatifu
.
Sikukuu
yake ni
tarehe
24 Juni
[2]
.
|
Makala hii bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuiongezea habari
.
|