Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
St. Petersburg
ni
jiji
la pili kwa ukubwa katika eneo la
Tampa Bay
, baada ya
Tampa
. Pamoja na jimbo la Clearwater, majiji haya yanaunda jiji la Tampa?St. Petersburg?Clearwater Metropolitan, la pili kwa ukubwa katika
Florida
likiwa na
idadi
ya
watu
karibu
milioni
2.8.
St. Petersburg iko kwenye pwani ya Pinellas kata ya Tampa Bay na Ghuba ya Mexico, na imeunganishwa na jimbo la Florida kuelekea kaskazini.
St. Petersburg ilianzishwa mwaka 1888 na John C. Williams, ambaye alinunua ardhi, na kwa Peter Demens, ambaye alileta sekta ya reli katika eneo hilo. Kama sehemu ya mchezo wa kubashiri wa kutupa sarafu, mshindi, Peter Demens,akalipa jina eneo hilo baada ya mtakatifu Petersburg (Saint Petersburg) wa Urusi, wakati Williams alichagua kuiita hoteli ya kwanza kujengwa katika eneo hilo ambayo iliiwa hoteli ya Detroit, majina yote mawili yakiwa na majina ya miji yao ya kuzaliwa. St. Petersburg ilisajiliwa rasmi kama mji Februari 29,ya mwaka 1892 na kutambulika tena kama jiji mnamo 6 Juni 1903.
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Marekani
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
St. Petersburg, Florida
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|