Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sardinia
(kwa
Kiitalia
: Sardegna) ni
kisiwa
kikubwa cha pili katika
bahari ya Mediteranea
chenye eneo la
km²
23,821.
Pamoja na visiwa vidogo vya karibu ni
mkoa wenye katiba ya pekee
wa
Italia
. Kwa sasa umegawanyika katika
wilaya
8, lakini mwaka
2012
wananchi walipiga
kura
ya kuzifuta.
Kuna wakazi
milioni
1.663 (
2015
).
Mji mkuu
ni
Cagliari
.
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Italia
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Sardinia
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|