Pierre-Gilles de Gennes ( 24 Oktoba 1932 – 18 Mei 2007 ) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ufaransa . Hasa anajulikana kwa kuchunguza fuwele miminiko na sifa zake. Mwaka wa 1991 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia .