Peter Ware Higgs ( 29 Mei 1929 - 8 Aprili 2024 ) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza . Hasa amechunguza chembe za atomu .
Mwaka wa 2013 , pamoja na Francois Englert , alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia .