Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Yohane II
alikuwa
Papa
kuanzia
tarehe
31 Desemba
532
/
2 Januari
533
hadi
kifo
chake tarehe
8 Mei
535
[1]
. Alitokea
Roma
,
Italia
[2]
na kuitwa kwanza Mercurius. Kwa kuwa hilo lilikuwa
jina
la
mungu mmojawapo wa Kirumi
alilibadilisha, akiwa labda
mwanzilishi
wa
desturi
hiyo ya Papa kujichagulia jina jipya
[3]
.
Alimfuata
Papa Boniface II
akafuatwa na
Papa Agapeto I
.
|
---|
|
karne ya 1 hadi ya 4
| | |
---|
karne ya 5 hadi ya 8
| |
---|
karne ya 9 hadi ya 12
| |
---|
karne ya 13 hadi ya 16
| |
---|
karne ya 17 hadi ya 20
| |
---|
karne ya 21
| |
---|
|
|
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Papa Yohane II
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuiongezea habari
.
|