Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Sergio I
alikuwa
Papa
kuanzia
tarehe
15 Desemba
687
hadi
kifo
chake tarehe
7 Septemba
701
[1]
. Alitokea
Syria
[2]
au alizaliwa
Palermo
(
Italia
) katika
familia
kutoka
Syria
[3]
.
Alimfuata
Papa Konon
[4]
[5]
[5]
[6]
[7]
akafuatwa na
Papa Yohane VI
.
Alipigania kwa
nguvu
zote
uinjilishaji
wa
Wasaksoni
na
Wafrisia
akamfanya
mmisionari
Wilibrodi
kuwa
askofu
wao.
Pia alimaliza
farakano la Akwileia
(
698
)
[5]
na migogoro mingine, lakini alikuwa tayari kuuawa kuliko kukubali uzushi
[8]
.
Hivyo alikataa kabisa
[9]
[10]
kuthibitisha
kanuni
zilizotungwa na maaskofu wa
Mashariki
[11]
katika
Mtaguso wa tano-sita
zikilenga kufanya
desturi
za
Konstantinopoli
zifuatwe na
Wakatoliki
wote
[12]
[13]
. Kwa sababu hiyo
kaisari
Justiniani II
aliagiza akamatwe na kuletwa Konstantinopoli, lakini watu walizuia utekelezaji wa
amri
hiyo
[5]
[14]
.
Tangu kale anaheshimiwa na
Wakatoliki
na
Waorthodoksi
kama
mtakatifu
, hasa tarehe
8 Septemba
[15]
.
- ↑
https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
- ↑
https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
- ↑
Jeffrey Richards (2014).
The Popes and the Papacy in the Early Middle Ages: 476?752
. Routledge. uk. 270.
ISBN
9781317678175
.
- ↑
Horace Mann:
The lives of the popes.
Vol. I pt. 2, London 1903, p. 80
- ↑
5.0
5.1
5.2
5.3
Frank N Magill, Alison Aves,
Dictionary of World Biography
(Routledge 1998
ISBN|978-1-57958041-4), vol. 2, pp. 823?825
- ↑
Ekonomou, 2007, p. 216.
- ↑
Ekonomou, 2007, p. 217.
- ↑
https://www.santiebeati.it/dettaglio/69600
- ↑
Hartmann (2012), p. 82
- ↑
Ekonomou, 2007, p. 222.
- ↑
Wilfried Hartmann, Kenneth Pennington (editors),
The History of Byzantine and Eastern Canon Law to 1500
(CUA Press 2012
ISBN|978-0-81321679-9), p. 79
- ↑
Ostrogorsky, George; Hussey, Joan (trans.) (1957).
History of the Byzantine state
. New Brunswick, N.J.: Rutgers University Press. ku.
122?23
.
ISBN
978-0-8135-0599-2
.
- ↑
In a step that was symbolically important in view of the council's prohibition of depicting Christ as a Lamb, Sergius introduced into the liturgy the chant "Lamb of God, you take away the sins of the world, have mercy on us" at the breaking of the Host during Mass, and restored the damaged facade mosaic in the atrium of Saint Peter's that depicted the
Worship of the Lamb
. Cfr. Ekonomou, 2007, p. 223. The
Agnus Dei
would have been chanted in both Greek and Latin during this period, in the same manner as the other liturgical changes of Sergius. Cfr. Ekonomou, 2007, p. 250.
- ↑
Ekonomou, 2007, p. 44.
- ↑
Martyrologium Romanum
- Ekonomou, Andrew J. 2007.
Byzantine Rome and the Greek Popes: Eastern influences on Rome and the papacy from Gregory the Great to Zacharias, A.D. 590?752
. Lexington Books.
ISBN 978-0739119778
|
---|
|
karne ya 1 hadi ya 4
| | |
---|
karne ya 5 hadi ya 8
| |
---|
karne ya 9 hadi ya 12
| |
---|
karne ya 13 hadi ya 16
| |
---|
karne ya 17 hadi ya 20
| |
---|
karne ya 21
| |
---|
|
|
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Papa Sergio I
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuiongezea habari
.
|